CLM

CHAGUO LA MHARIRI

Karibu kwenye Chaguo la Mhariri. Ukurasa huu utapata makala ambazo mhariri amechangua kwa manufaa ya wasomaji. Mtandao wetu una makala nyingi ambazo ni ngumu kuzipata zote. Ukurasa huu utakusaidia kupata makala muhimu.

Je, Mimea 10 ya kufukuza Mbu Unaifahamu?

Faida 10 za Mmea wa Mint. Hii ndiyo historia fupi kuhusu Mint. Mint ni mmea wa mimea unaojulikana kwa jina la kitaaluma “Mentha” na ni mwanachama wa familia ya Lamiaceae. 

Ni Faida Zipi 9 za Beetroot Unafahamu?

Ni faida zipi 9 za Beetroot unafahamu? Leo tutaongelea lakini kwanza tupate historia kidogo kuhusu zao hili. Beetroot(viazi mviringo) ni aina ya mmea ambao ni jani, ni familia moja na swisschard na spinach.

Jinsi ya kupanda Bamia Kwenye Shamba Dogo?

Hatua 7 za kupanda Bamia Kwenye Shamba Dogo? Makala yetu ya kwanza tuliongelea kuhusu faida 6 za Bamia, ni vizuri kuwa unaweza kulima hizi……