Ona Jinsi Nilivyopanda Mbegu 2 za Nyanya Tofauti.

Ona Jinsi Nilivyopanda Mbegu 2 za Nyanya Tofauti.

Ona jinsi nilivyopanda mbegu 2 za Nyanya Tofauti. Kabla sijawaambia nilivyofanya lazima niwaambie kwa nini niliamua kufanya hivyo.

Wiki mbili kabla ilikuwa tarehe 12/7/2024, nilipanda mbegu kwenye kontena dogo nikifikiria kuwa Nyaya hizo zitakuwa na kuota Nyanya. 👇

Ona Jinsi Nilivyopanda Mbegu 2 za Nyanya Tofauti.

Baadae niliona kuwa nimefanya kosa. Kosa hilo lilikuwa ni kupanda kwenye kontena dogo na ukuaji wa mmea ungekuwa tatizo baadae. Pia Nyanya hizo zingekuwa na uzito. Kontena dogo hilo lisingeweza kustahimili uzito huo.

Ona Jinsi Nilivyopanda Mbegu 2 za Nyanya Tofauti.

Nilitafakari na kupata wazo. Nikasema nitapeleka Nyanya hizi shambani nakuamishia huko. Wiki mmoja baadae nilikuwa shambani.

Ndugu yangu mmoja anayeitwa masanilo alikuwa na mbegu nyingi tofauti na ambayo nilikuwa nazo.

Wazo likaja kwa nini nisipande mbegu 2 za Nyanya Tofauti. Huko shamba nilikuwa na madumu ya kontena za maji. Sasa acha niwaonyeshe jinsi nilivyopanda mbegu 2 za nyanya tofauti.

Ona Jinsi Nilivyopanda Mbegu 2 za Nyanya Tofauti.

1. Madumu ya Kontena za Maji ya lita 13– Nilichukua madumu haya mawili nikayakata nusu. Dumu mmoja nilipanda Mbegu ya aina mmoja na dumu la pili nilipanda aina nyingine.

Ona Jinsi Nilivyopanda Mbegu 2 za Nyanya Tofauti.

Nilichanganya udogo pamoja na mbolea ya ng’ombe na baada ya hapo kuzipanda hizo mbegu. Mbegu hizo nilipanda tarehe 22/7/2024.

Ona Jinsi Nilivyopanda Mbegu 2 za Nyanya Tofauti.

Mwezi mmoja na nusu umepita sasa. Mbegu ambayo imetoka ni ya kampuni mmoja. Mbegu ya kampuni nyingine imekubali.

Ona Jinsi Nilivyopanda Mbegu 2 za Nyanya Tofauti.

Tutaanza kufuatilia mbegu hii ambayo imekubali na kukupa habari kila mwezi na jinsi inavyoendelea mpaka pale tutapopata mavuno yetu.

MAKALA HII INAENDELEA. UNAWEZA KUSOMA MAKALA ZINGINE KWENYE MTANDAO WETU.

About the Author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

You may also like these