Jinsi ya kupanda Mahindi Matamu kwenye Kontena

Jinsi ya kupanda Mahindi Matamu kwenye Kontena

Jana tarehe 18/12/2024 nilipanda Mahindi Matumu kwenye Kontena. Makala hii nitawaonyesha jinsi ya kupanda Mahindi Matamu kwenye Kontena. Makla hii itakuwa niendelevu wiki kwa wiki mpaka tunavuna.

Jinsi ya kupanda Mahindi Matamu kwenye Kontena

Binafsi napenda mahindi matumu sana. Kawaida ninapanda mahindi haya kwenye shamba, lakini vipi kama hauna shamba na unaishi sehemu ya kawaida? Inawezekana pia kupanda.

Kama mnavyojua mimi ninaishi mjini kabisa, kwa hiyo ninasehemu ndogo juu ambayo tunaweka matanki ya maji, hapo ndipo natumia kupanda mboga mboga na vingine. Nimeweza kupanda mazao mbalimbali kwenye kontena.

Sasa tuone hatua kwa hatua ya kupanda mahindi matumu kwenye kontena.

Jinsi ya kupanda Mahindi Matamuu kweye Kontena.

1.Changanya Mbolea na Mchanga kwenye Kontena.

Tumia mbolea ya ng’ombe na mchanga laini halafu weka kwenye kontena yako. Kisha tengeneza mashimo mawili ya kuweka mbegu za mahindi matamu ndani yake. 👇

Jinsi ya kupanda Mahindi Matamu kwenye Kontena

Kisha fukia mbegu hizo na uweke maji. Kila siku mwagia maji asubuhi na jioni ikiwezekana. Mchanga wako kama unahifadhi maji basi unaweza kumwagia mara moja tu kwa siku.

Jinsi ya kupanda Mahindi Matamu kwenye Kontena

Kila wiki kwenye makala hii nitakuwa nakupa mrejesho wa jinsi ya kupanda Mahindi Matamu kwenye Kontena. Basi usicheze mbali na mtandao wetu na hasa makala hii.

Unajua unaweza kupanda Mint pia kwenye Kontena? Soma makala hii ya Njia 3 za kupanda Mint kwenye Kontena.

PICHA KUTOKA CANVA

About the Author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

You may also like these